Al-Ahly Dua Zote kwa Mamelodi

Klabu ya Al-Ahly kutoka nchini Misri leo dua zake zote zitakua zinaelekea nchini Sudani ambapo kuna mchezo kati ya Al-Hilal dhidi ya Mamelodi Sundowns ya kutoka nchini Afrika ya Kusini.

Klabu ya Al-Ahly itakua inaiombea klabu ya Mamelodi Sundowns iweze kuifunga klabu ya Al-Hilal ya nchini Sudan ambao watakua wenyeji wa mchezo huo, Kwani ikitokea klabu ya Al-Hilal wanapata matokeo ya ushindi katika mchezo wa leo basi wababe hao wa Afrika watakua wanayaaga mashindano hayo.al-ahlyVigogo hao wa soka kutoka barani Afrika wamekua wakipitia kipindi kigumu kutoka na kiwango chao kushuka na kushindwa kupata matokeo katika michezo yao, Klabu hiyo mpaka sasa inakamata nafasi ya tatu kwenye kundi lake wakiwa na jumla ya alama saba.

Al-Ahly ambao wana alama saba mpaka sasa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika imekua jambo la kushtua kifdogo kutoka kwao, Kwani mpaka sasa wameshacheza michezo mitano tayari huku wakibakiza mchezo mmoja hivo kimahesabu Al-Hilal wakishinda mchezo wa leo watakua na alama 12 ambazo vigogo hao hawawezi kuzifikia.al-ahlyKlabu kutoka nchini Misri zimekua na wakati mgumu mwaka katika ligi ya mabingwa barani Afrika baada ya jana klabu ya Zamalek kuaga michuano hiyo usiku wa jana, Huku ikitokea klabu ya Al-Hilal wanashinda mchezo wa leo basi Al-Ahly nao watakua wanaaga michuano hiyo.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.