Tuchel: Nilishangazwa Bayern Kunihitaji Wakati Huu
Bundesliga

Kocha wa klabu ya Bayern Munich Thomas Tuchel amesema alishangazwa na mabosi wa klabu ya Bayern kumtafuta kipindi hichi kwakua hakua anawaza kufanya kazi majira haya na alipanga kurudi kazini …

Soma zaidi
Wachezaji wa Kiislamu Waruhusiwa Kufturu kipindi cha Mwezi wa Ramadhan
Daily News

Mamlaka ya Ligi kuu ya Uingereza imepitisha utaratibu mzuri wa kuwaruhusu wachezaji wenye imani ya Kiislamu kufturu katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan, wakati wa michezo yote ya …

Soma zaidi
Allegri: “Hatukucheza Vizuri Sana Jana”
Serie A

Kocha mkuu wa Juventus Massimiliano Allegri amesema timu yake “haikucheza vizuri” na kumfanya aongee muda wote katika ushindi wao wa nyumbani wa 1-0 dhidi ya Verona.   Bianconeri walipata ushindi …

Soma zaidi
Leicester City Wanamtaka Harry Maguire kwa Mkopo
Daily News

Leicester City wanataka kumsajili kwa mkopo beki wa Manchester United Harry Maguire ambaye amekuwa sio chaguo namba moja ndani ya Mashetani Wekundu.   Nahodha huyo wa Mashetani Wekundu ameacha kupewa …

Soma zaidi
Uzembe wa Lukaku Wamkasirisha Inzaghi
Serie A

Simone Inzaghi hakuficha kuchanganyikiwa kwake katika pambano la Romelu Lukaku mbele ya lango baada ya Inter kushindwa 1-0 dhidi ya Fiorentina hapo jana.   Msururu wa kupoteza kwa Inter katika …

Soma zaidi
Graham Potter Awatuliza Mashabiki| Akubali Kukosolewa
Daily News

Kocha mkuu wa klabu ya Chelsea Graham Potter ametoka nje na kuzungumzia matokeo ya jana baada ya timu yake kucharazwa mabao 0-2 katika dimba lao la nyumbani la Stamford Bridge. …

Soma zaidi
Potter Achanganyikiwa Baada ya Kupoteza Mchezo Hapo Jana Akiwa Nyumbani
Daily News

Graham Potter amekasirishwa baada ya timu yake Chelsea kushindwa nyumbani dhidi ya Aston Villa hapo jana.   Ollie Watkins aliifungia Villa bao la kuongoza kwa shuti kali baada ya dakika …

Soma zaidi
Imefahamika Hawa hapa Wapinzani wa Simba CAF
SOKA LA BONGO

Simba SC ndiye mwakilishi pekee wa Tanzania kwenye mashindano ya Klabu bingwa barani Afrika, amefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ikiwa ni mara ya 3 lakini swali kubwa linagonga vichwa …

Soma zaidi
Tuchel Aanza Kibabe Bayern Munich
Bundesliga

Kocha wa zamani wa klabu ya Chelsea Thomas Tuchel ambaye anaifundisha klabu ya Bayern Munich kwasasa amefanikiwa kuanza vizuri ndani ya timu hiyo baada ya kuifunga klabu yake ya zamani …

Soma zaidi
Klopp: Tusingeshinda Hata City Wangekua kumi
Daily News

Kocha wa klabu ya Liverpool Jurgen Klopp amesema kua haamini kama klabu yake ingeweza kushinda hata wapinzani wao klabu ya Manchester City wangekua na wachezaji kumi kiwanjani kutokana na namna …

Soma zaidi
1 2 3 543 544 545 546 547 548 549 2,272 2,273 2,274
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.