Guardiola:Ushindi dhidi ya Liverpool ni Ushindi bora zaidi Kwangu
Kocha wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola amewapongeza wachezaji wake kutokana na kiwango walichokionesha katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza dhidi ya Liverpool na kufanikiwa kupata alama tatu …
Arsenal Haishikiki Yaibamiza Leeds United
Arsenal wameendeleza moto wake kwenye ligi kuu ya Uingereza baada ya kufanikiwa kupata ushindi mnono dhidi ya klabu ya Leeds United na kuendelea kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo. …
Manchester City Yaicharaza Liverpool
Klabu ya Manchester City wakiwa katika dimba lao la nyumbani imeicharaza klabu ya Liverpool kwa mabao manne kwa moja katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza mapema leo. Klabu ya …
Haaland Hayupo Kwenye Kikosi cha City Kitakachomenyana na Liverpool Leo
Erling Haaland hajajumuishwa kwenye kikosi cha Manchester City kitakachomenyana na Liverpool leo baada ya kushindwa kupona jeraha la paja. Nyota huyo wa Norway ana mabao 42 katika mechi 37 …
Klopp Amethibitisha kuwa Liverpool Wananuia Kumaliza Msimu Vizuri
Liverpool itatafuta kutumia mwisho wa msimu huu huku Jurgen Klopp akipanga kuwajenga upya wachezaji kabla ligi kuu ya Uingereza haijamalizka. Baada ya kushika nafasi ya pili kwa pointi 92 …
Chelsea Waibuka Kama Washindani Wakuu Katika Mbio za Kumuwania Osimhen
Chelsea wameibuka kuwa washindani wakuu wa kumuwana Victor Osimhen wa Napoli ambaye timu nyingi zinamvizia. Mnigeria huyo ni mmoja wa vinara wanaotafutwa sana barani Ulaya baada ya kufunga mabao …
Arsenal, Man Utd na PSG Wanamuwania Tchouameni
Arsenal, Manchester United na Paris Saint-Germain ni miongoni mwa vilabu vikubwa vinavyoripotiwa kutaka kumnunua kiungo wa Real Madrid Aurelien Tchouameni. Tchouameni aliwasili Madrid Julai mwaka jana akitokea Monaco kwa …
Galtier: PSG Wanafanyia Kazi Mipango ya Msimu Ujao, Ikiwa ni Pamoja na Mazungumzo na Messi
Kocha mkuu wa Paris Saint-Germain Christophe Galtier ana matumaini kuhusu mipango ya klabu hiyo kwa msimu ujao, lakini anakiri kuwa kuna sehemu ambazo zinahitaji kuboreshwa “kwa kiasi kikubwa”. PSG …
Doucoure Awataka Everton Kuboresha Rekodi ya Kufunga Mabao
Abdoulaye Doucoure amekiri Everton lazima itafute namna ya kupachika mabao haraka ili kuepuka kushuka daraja katika Ligi kuu ya Uingereza. The Merseysiders ndio wafungaji wa pamoja na wa chini …
Al Nassr Yasherehekea Ronaldo Kuweka Rekodi Ureno
Al Nassr wamesherehekea uchezaji wa Cristiano Ronaldo ambao umevunja rekodi katika Taifa la Ureno. Kwa kuzingatia kujitolea kwake katika soka Ronaldo anaweza kuwa hakula keki aliyokabidhiwa hapo jana. Al …

