Ahmed Ally: Simba Lazima Iwafunge Wakubwa
SOKA LA BONGO

Usiku wa droo ya Ligi ya mabingwa hatua ya robo fainali ilichezeshwa jana, huku wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye mashindano hayo Simba SC wakibahatika kupangwa na bingwa mtetezi Wydad Casablanca. …

Soma zaidi
Infantino Alaani Nyimbo za Kibaguzi Kumwelekea Lukaku
Coppa Italia

Rais wa FIFA Gianni Infantino amelaani kelele za ubaguzi wa rangi kutoka kwa mashabiki wa Juventus dhidi ya mshambuliaji wa Inter Romelu Lukaku wakati wa mechi yao ya nusu fainali …

Soma zaidi
Yanga Yapangwa na Rivers United Hatua ya Robo Fainali Kombe la Shirikisho
SOKA LA BONGO

Klabu nyingine inayoshirikishi michuano ya CAF ni klabu ya Yanga ambayo inaongozwa na kocha mkuu Nasredine Nabbi kwa upande wao wanashiriki Kombe la Shirikisho na wamepangwa na Rivers United kutoka …

Soma zaidi
Simba Yapangwa na Wydad Casablanca Hatua ya Robo Fainali
SOKA LA BONGO

Hatimaye droo ya michuano ya klabu bingwa na kombe la shirikisho imetoka hapo jana ambapo kwa upande wa klabu bingwa mwakilishi pekee Simba kutoka Tanzania amepangiwa Wydad Casablanca.   Ikumbukwe …

Soma zaidi
Ten Hag: Weghorst Anafanya Kazi Kubwa
Daily News

Kocha wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag amesema mshambuliaji wake ndani ya klabu hiyo Wout Weghorst anafanya kazi kubwa mpaka sasa na anachokifanya kinaleta mafanikio kwenye timu. Kocha …

Soma zaidi
Luis Enrique: Mbioni Kutua Chelsea
Daily News

Kocha wa zamani wa klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Hispania Luis Enrique inaelezwa ametua ndani ya jiji la London kwajili ya kufanya mazungumzo na klabu ya Chelsea …

Soma zaidi
William Saliba Kuikosa mechi ya Liverpool
Daily News

Arsenal wamepata pigo kubwa kwa beki wao tegemezi William Saliba akitarajiwa kuukosa mchezo mkubwa wa Arsenal dhidi ya Liverpool siku ya Jumapili. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet, Kasino ya …

Soma zaidi
Roma Wamepigwa Faini Kutokana Mashabiki Zao Kufanya na Ubaguzi
Serie A

Klabu ya AS Roma wamepigwa faini ya Euro 8.000 kufuatia kelele za ubaguzi wa rangi kutoka kwa mashabiki wao zikimlenga Dejan Stankovic, lakini hakimu wa michezo alifichua kuwa adhabu hiyo …

Soma zaidi
Del Piero Arejea kwenye Uwanja wa Allianz kwaajili ya Juventus vs Inter Coppa Italia
Coppa Italia

Alessandro Del Piero anarejea Uwanja wa Allianz leo usiku kwa ajili ya mechi ya mkondo wa kwanza wa nusu fainali ya Coppa Italia kati ya Juventus na Inter.   Sky …

Soma zaidi
Neville: “Pochettino Ndiye Anayefaa Kumrithi Potter Chelsea”
Daily News

Garry Neville amesema kuwa, Mauricio Pochettino ndiye mtu anayefaa kuchukua mikoba ya Chelsea pale Stamford Bridge.   The Blues wanawinda kocha mpya kwa mara ya pili msimu huu, baada ya …

Soma zaidi
1 2 3 539 540 541 542 543 544 545 2,272 2,273 2,274
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.