William Saliba Kuikosa mechi ya Liverpool

Arsenal wamepata pigo kubwa kwa beki wao tegemezi William Saliba akitarajiwa kuukosa mchezo mkubwa wa Arsenal dhidi ya Liverpool siku ya Jumapili. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet, Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

saliba

William Saliba anasumbuliwa na jeraha la mgongo alilolipata mwezi uliopita katika mechi ya Ligi ya Europa dhidi ya Sporting Lisbon ya Ureno.

Majeraha hayo yamemfanya beki huyo kukosa mechi mbili zilizopita za Arsenal dhidi ya Crystal Palace na Leeds. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Hata hivyo Arsenal wameshinda mechi zao zote mbili bila Saliba lakini safari ya Anfield itawapa mtihani tofauti kabisa bila kujali uchezaji wa Liverpool.

Kikosi cha Jurgen Klopp kitatafuta majibu kufuatia kipigo cha 4-1 kutoka kwa Manchester City na sare ya 0-0 na Chelsea.

Majogoo hao Jiji la Liverpool wanatumai kurejesha matumaini yao ya kutinga nne bora kwa kufunga Arsenal. Beti na Meridianbet mechi hii, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Lakini Kocha wa Arsenal Mikel Arteta hataki kuchukua nafasi yoyote na Saliba hadi atakapopona kabisa majeraha yake yote.

Arteta alisema. ” Saliba bado ana usumbufu fulani mgongoni mwake. Tunajaribu kumsimamia kwa njia bora zaidi. Tunajaribu, anajaribu kufanya kila kitu ili kujisikia vizuri na kurudi kwenye mazoezi, lakini bado.

“Nina matumaini sana na yeye pia yuko. Majeraha ya mgongo ni ngumu kidogo na jinsi yanavyobadilika na mzigo unaoweka katika maeneo fulani, lakini madaktari wana maoni chanya juu yake.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.