Chelsea Wanaangalia Namna ya Kumpata Goncalo wa Benfica
Chelsea wanadaiwa kutaka kumsajili mshambuliaji wa Benfica Goncalo Ramos msimu huu wa joto. Chelsea wanahitaji sana mshambuliaji wa kati baada ya kampeni ya kukatisha tamaa ambayo wamekosa makali. Huku …
Azam FC Uso kwa Uso Dhidi ya Mtibwa Sugar
Mchezo wa pili wa ligi kuu ya NBC kupigwa hii leo ambapo matajiri wa Chamazi, Azam FC watakipiga dhidi ya Mtibwa Sugar ya Morogoro huku kila timu ikihitaji pointi tatu …
Singida Big Stars Kumenyana Dhidi ya Polisi Tanzania Leo
Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kuendelea hii leo kwa michezo miwili ambapo mchezo wa mapema ni huu unaowakutanisha kati ya Singida Big Stars dhidi ya Polisi Tanzania majira ya …
Simba na Ihefu Kukiwasha Leo Michuano ya ASFC
Klabu ya Simba SC ambayo inaongozwa na kocha mkuu Robertinho wanatajia kushuka dimbani hii leo kucheza mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam dhidi ya Ihefu kutoka Mbeya. Simba …
Stellini: Wachezaji wa Zamani Wanaomkosoa Kane Hawaiheshimu Tottenham
Kaimu kocha mkuu wa Tottenham Cristian Stellini amewashutumu wachezaji wa zamani kwa kutokuwa na heshima na klabu hiyo baada ya Harry Kane kupokea shutuma kwa upande wake katika kadi nyekundu …
Juventus Yafungiwa Uwanja Mechi Ijayo Baada ya Kumfanyia Lukaku Ubaguzi
Juventus wamepigwa marufuku ya kutoingiza mashabiki zake mechi moja kwenye sehemu ya uwanja baada ya wafuasi wao kumtusi mshambuliaji wa Inter Romelu Lukaku. Lukaku alilengwa na mashabiki wa upinzani …
Liverpool Yashtakiwa kwa Kumzonga Mwamuzi Baada ya Kipigo Dhidi ya City
Liverpool wameshtakiwa na Chama cha Soka (FA) kwa tukio walilowafanya wachezaji wao kumzonga mwamuzi katika mchezo wa Jumamosi iliyopita wa mabao 4-1 dhidi ya Manchester City. Tukio hilo lilitokea …
Mbappe Aikashifu PSG Kuhusu Video ya Matangazo Kwenye Uboreshaji wa Tiketi
Kylian Mbappe ameikashifu Paris Saint-Germain kuhusu video ya matangazo kwa ajili ya uboreshaji wa tiketi za msimu baada ya kuhusishwa sana kwenye kampeni. Mshambuliajii huyo alisaini mkataba mpya na …
Mesut Ozil Ampigia Saluti Benzema
Mchezaji wa zamani wa Real Madrid Mesut Ozil amemwagia sifa za mchezaji mwenzake wa zamani Karim Benzema baada ya kuwa mchezaji wa kwanza wa Ulaya kufunga hat-trick kwenye El Classico …
Hizi Ndio Derby 6 Bora za Afrika
Kila bara au nchi ulimwenguni huwa linakuwa na timu mbili zinazotoa upinzani mkubwa sana pindi zinapokutana uwanjani. Meridianbet Sports leo tunakuletea orodha ya Derby 5 kubwa zinazopatikana bara la Afrika. …

