Unaweza kusema ni muda muafaka kwa timu ya Wananchi Yanga SC kulipa kisasi chao kwa Rivers United ya nchini Nigeria. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

Baada ya droo ya Ligi ya Mabingwa hatua ya robo fainali kufanyika usiku wa kuamkia leo mjini Cairo, Yanga walipangwa kukutana na Rivwers United huku wakiwa na faida ya kuanzia ugenini.
Rekodi za Head to Head
Ukiangalia rekodi kati ya timu hizi mbili, utaona kabisa Yanga anadaiwa ushindi tu ili kulipiza kisasi chao cha mwaka 2021 walipoa wanasaka tiketi ya kufuzu hatua ya mtoano wa Ligi ya Mabingwa.
TImu hizi Yanga vs Rivers United zimekutana mara 2 huku mechi zote akishinda Rivers, ikumbukwe kwamba nchini Nigeria Yanga alipoteza kwa bao moja mchezo ukichezwa kwenye dimba la Adokiye Amiesimaka huko Port Harcourt. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Yanga ya msimu huu ni tofauti zaidi na ya misimu miwili nyuma, imeimarika kwenye kila idara kuanzia uwekezaji, benchi la ufundi na wachezaji wenye uwezo mkubwa wanao hivyo uwezekano wa Wananchi kulipa kisasi na kusonga hatua ya Nusu fainali upo. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

