Marcus Rashford Kuikosa Sevilla, Ten Hag Ataja Wengine

Kocha mkuu wa Manchester United Erik ten Hag amewaondoa Marcus Rashford na Luke Shaw kwenye kikosi kitakacho cheza Alhamisi ya robo fainali-Ligi ya Europa dhidi ya Sevilla. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.


Ten Hag

 

Man United ilitoa taarifa ikifichua kwamba Rashford atakuwa nje kwa ‘mechi chache’ kutokana na jeraha alilopata dhidi ya Everton wikendi hii.

Ten Hag aliulizwa taarifa zaidi kuhusu Mwingereza huyo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari Jumatano alasiri lakini hakuweza kutoa maelezo zaidi kwa mujibu wa muda uliopangwa. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

“Mechi chache taarifa ni hiyo. Siwezi kutoa maelezo zaidi juu yake kwa sababu hatujui. Itabidi tuone jinsi inavyoendelea,” alisema Mholanzi huyo alipoulizwa kuhusu kutokuwepo kwa Rashford.

“Ni kurudi nyuma na amekatishwa tamaa, lakini hajavunjika kabisa kwa sababu atarudi haraka. Ameanza kuwa fiti na hiyo inasaidia kurejea hivi karibuni.”

Majeruhi Wengine Man Utd:

Alejandro Garnacho

“Wote hawapatikani. Hakika jeraha la Garnacho ni kubwa zaidi, lakini natarajia Luke Shaw atarejea kwa muda mfupi,” alisema Mholanzi huyo alipoulizwa kuhusu Shaw na Garnacho.

Donny van de Beek pia kwa sasa hayupo Man United, huku kiungo huyo akiwa nje kwa muda uliosalia wa msimu huu kutokana na jeraha la goti alilolipata mwanzoni mwa Januari.

Tom Heaton ana jeraha la kifundo cha mguu, lakini Mashetani Wekundu watamkaribisha Casemiro kwenye kikosi chao, na Mbrazil huyo atakuwa safi kufuatia kufungiwa mechi nne za nyumbani. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Christian Eriksen, wakati huohuo, alirejea kutoka kwenye jeraha la kifundo cha mguu dhidi ya Everton Jumamosi alasiri, huku mchezaji huyo wa kimataifa wa Denmark pia akiwa katika kinyang’anyiro cha kuanza.

Kukosekana kwa Rashford kunaweza kumfanya Anthony Martial awe fiti tena katikati dhidi ya Sevilla, huku Tyrell Malacia akiendelea katika nafasi ya beki wa kushoto bila Shaw. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.