Usiku wa deni haukawii kukucha unaweza kusema, ni Jumapili nzuri sana ni Sikukuu kwa wapenda Soka, wapenzi wa Simba na Yanga leo watakutana kwenye dimba la Mkapa katika Kariakoo Derby. Bashiri mechi hii kupitia Meridianbet odds kubwa Simba 2.11, Yanga 3.33 huku Sare ikiwa na 2.74

Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC imetoa ahadi kwa Tsh Milioni 300 kwa wachezaji wa timu hiyo, endapo watamfunga mtani wao Yanga kwenye mchezo wa leo utakaopigwa majira ya Saa 11 Jioni. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.
Kwa muda mrefu sana Simba amekuwa akipambana kushinda mbele ya Yanga, huku mara ya mwisho kushinda ni msimu wa 2018/19 bao la Meddie Kagere dakika ya 71. Yanga mara ya mwisho kumfunga mtani wake kwenye Ligi ni Julai 3 2021 bao zuri kabisa la Zawadi Mauya.
Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Katika Msimu huu wa 2022/23 raundi ya kwanza Kariakoo Derby iliisha kwa sare ya 1-1, magoli yakifungwa na Augustine Okrah dakika ya 15 akiitanguliza Simba, kabla ya Stephen Aziz KI kusawazishia Yanga dakika za mwisho wa kipindi cha Kwanza. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara mechi hii, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

