Nathan Ake Kuikosa Arsenal
Beki wa klabu ya Manchester City na timu ya taifa ya Uholanzi Nathan Ake kuukosa mchezo wa leo wa ligi kuu ya Uingereza kati yao na vinara wa ligi hiyo …
Manchester City Vs Arsenal ni Vita ya Ubingwa Pale Etihad leo
Manchester City watakua nyumbani leo katika leo la Etihad wakiwakaribisha klabu ya Arsenal vinara wa ligi kuu ya Uingereza katika mchezo wa utakaotoa taswira ya ubingwa wa ligi hiyo. Manchester …
Reece James Huenda Akaukosa Msimu Uliobakia
Beki wa kulia wa klabu ya Chelsea Reece James raia wa kimataifa wa Uingereza huenda akaukosa msimu uliobakia ndani ya klabu hiyo kutokana na majeraha ya misuli ya paja aliyoipata. …
Barcelona Wamepata Ufadhili wa Ukarabati wa Camp Nou
Barcelona hatimaye wamepata ufadhili wa kuirejesha Camp Nou na maeneo jirani. Klabu hiyo hapo awali ilitangaza mipango ya ukarabati mwaka 2014 lakini matatizo mengi tangu wakati huo yamesababisha sehemu ndogo …
Hodgson: “Palace Bado Wanapambana Kutoshuka Daraja”
Roy Hodgson anadai Crystal Palace imesalia kwenye pambano la kushushwa daraja lakini kazi inayowakabili si kubwa sana baada ya kuambulia pointi 10 katika mechi nne zilizopita. Palace walishinda mechi …
PSG Itavunja Kibubu Kumpata Osimhen
PSG wako tayari kutoa ofa ambayo wana uhakika Napoli hawawezi kukataa kwa ajili ya kumpata mchezaji huyo wa Nigeria Victor Osimhen. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 ni …
Manchester United Wako Tayari Kuongeza Kasi ya Kumhitaji Kane
Manchester United wako tayari kuongeza juhudi zao za kumsajili nyota wa Tottenham Harry Kane. Gazeti la Telegraph linadai kuwa Mashetani Wekundu wanapanga kuwasilisha ombi la kumnunua nahodha huyo wa …
Kovacic Ahusishwa na Man City na Bayern
Mateo Kovacic anahisi yupo nyumbani huko Chelsea huku kukiwa na maoni kwamba Mkroatia huyo anaweza kulengwa na Manchester City na Bayern Munich mwishoni mwa msimu. Kovacic anakaribia miezi 12 …
Simba Yaifuata Wydad Casablanca Kwao
Klabu ya Simba imeifuata Wydad Casablanca kwaajili ya mchezo wao wa marudiano wa Kombe la Klabu Bingwa Afrika baada ya mnyama kupata ushindi mechi ya kwanza wakiwa kwa Mkapa. …
Yanga Yatua Dar Kibabe Kutoka Nigeria
Klabu ya Yanga ambayo ipo chini ya kocha Nasredine Nabi imetua Dar kibabe kutoka Nigeria baada ya kumtungua Rivers United mabao 2-0 katika hatua ya robo fainali ya kombe la …

