Ten Hag Afukuzwa na Bayer Leverkusen
Klabu ya Bayer Leverkusen ambayo inakipiga kule ligi kuu ya Ujerumani, BUNDESLIGA imemtimua kazi ambaye alikuwa kocha wao Erik Ten Hag baada ya kukosa matokeo mazuri kwenye mechi mbili alizocheza …
Thuram Adai Inter Walikosa Bahati Kwenye Kichapo Kigumu Dhidi ya Udinese
Inter imepoteza mechi yake ya kwanza ya msimu huu usiku wa jana baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Udinese waliocheza kwa ari kubwa na kugeuza matokeo kutoka …
Lamptey Ajiunga na Fiorentina Akitokea Brighton
Klabu ya Fiorentina imethibitisha kumsajili beki wa pembeni Tariq Lamptey kwa uhamisho wa kudumu akitokea Brighton & Hove Albion. Kwa mujibu wa taarifa, mtaalamu wa usajili wa Football Italia, Alfredo …
Openda Atua Turin Kwaajili ya Vipimo vya Afya Juventus
Dakika chache tu baada ya Edon Zhegrova, Lois Openda naye ametua nchini Italia kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya afya na klabu ya Juventus. Mabingwa wa kihistoria wa Serie A, …
Donnarumma Kukamilisha Uhamisho wa Pauni Milioni 27 kwenda Manchester City
Nahodha wa Italia, Gianluigi Donnarumma, yupo mbioni kujiunga na Manchester City kwa ada ya uhamisho ya €27 milioni na mshahara wa awali wa €15 milioni. Kwa mujibu wa taarifa za …
Djokovic Amnyamazisha Norrie, Afikia Rekodi ya Federer
Novak Djokovic ameonyesha kwamba bado hajafika mwisho, akipambana kishujaa na kumshinda Cameron Norrie katika raundi ya nne ya US Open. Ingawa Mserbia huyo alionekana akihangaika na maumivu ya mgongo, alibeba …
Taylor Townsend Aitikisa US Open Amtoa Mirra Andreeva
Taylor Townsend ameshika vichwa vya habari duniani baada ya kumtupilia mbali nyota chipukizi na mchezaji namba tano kwa ubora, Mirra Andreeva, katika raundi ya tatu ya US Open. Mmarekani huyo …
Liverpool Na Jaribio la Mwisho kwa Isak
Muda unazidi kuyoyoma kwa Alexander Isak kutimiza ndoto ya kujiunga na Liverpool. Klabu hiyo imekuwa ikimvutia kwa muda mrefu na tayari walishatoa ofa ya pauni milioni 110 mapema dirisha hili …
Mustakabali wa Wachezaji Man United Njia panda
Dirisha la usajili wa majira ya joto bado lipo wazi hadi sasa, na Manchester United wanaweza kufanya maamuzi ya dakika za mwisho kabla ya muda wa mwisho Jumatatu saa 1 …
Real Betis Waondoa Ofa ya Usajili wa Antony
Real Betis wameripotiwa kuondoa ofa yao ya kumsajili Antony kutoka Manchester United, hatua inayotia mashaka hatima ya winga huyo kabla ya dirisha la usajili kufungwa Jumatatu. Antony, ambaye amehusishwa kwa …

