Klabu ya Azam Fc inatarajia kuzichapa na Ruvu Shooting hapo kesho majira ya saa 1:00 usiku katika uwanja wa Chamazi baada ya kutoka kushinda mchezo wake uliopita.

 

Azam na Ruvu Shooting Kuzichapa Kesho

Azama yupo nafasi ya pili baada ya kucheza michezo 11 katika Ligi ya NBC. Ameshinda mechi zake saba, ametoa sare mbili na amepoteza michezo miwili, pia yupo na pointi sawa na kinara Yanga japokuwa anaongoza michezo miwili mkononi.

Ruvu Shooting yeye yupo nafasi ya 12, amecheza michezo 11, ameshinda michezo mitatau, sare mbili na kupoteza mara sita huku akiwa na pointi 11 mpaka sasa kwenye msimamo.

Azam na Ruvu Shooting Kuzichapa Kesho

Mechi mbili za mwisho timu hizi kukutana Azam fc aliondoka na pointi 4 guku Ruvu akiambulia sare.


beti na kitochi

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa