Klabu ya Soka ya Azam imekaa kileleni kwenye ligi kuu ya NBC baada ya kupata ushindi wa magoli manne kwa matatu dhidi ya klabu ya Mtibwa Sugar katika dimba la Manungu Complex.

Klabu ya Azam leo wamefanikiwa kuifunga klabu ya Mtibwa wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani mabao manne kwa matatu, Huku magoli ya wanalambalamba yakifungwa na Idris Mbombo mabao mawili Abdallah Kheir Sebo, na Ayub Lyanga huku mabao ya Mtibwa yakifungwa na Adam Adam mabao mawili na Nassor Kiziwa.

Licha ya mchezo huo kubadilika kipindi cha pili na klabu ya Mtibwa kuonekana wanahitaji kusawazisha mabao yote lakini wanalambalamba walikaa imara na kuhakikisha wanazichukua alama zote tatu katika dimba la Manungu.azamKlabu ya Azam wanafanikiwa kukaa kileleni mwa msimamo wa NBC kwa alama tatu zaidi ya klabu ya Yanga baada ya leo kufikisha alama 23 huku mabingwa watetezi Yanga wakiwa na alama 20 hivo wanalamba watasubiri mpaka Yanga ashinde kesho ndo kutakua na uwezekano wa kushuka kwenye msimamo.

 

Klabu hiyo imeanza kuonesha sasa inataka kua mshndani halisi wa ligi kuu baada ya kuanza vibaya katika msimu licha ya kufanya usajili mkubwa na wachezaji wenye hadhi, Lakini taratibu matajiri hao wa Dar-es-salaam wanaanza kurudi kwenye ubora wao.

aviator

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa