Klabu ya Manchester City umepata kipigo kingine ndani ya msimu huu katika ligi kuu ya Uingereza baada ya kukubali kupokea kipigo dhidi ya klabu ya Brentford katika dimba lao la nyumbani.

Vijana wa Pep Guardiola leo walibali kichapo cha mabao mawili kwa moja leo katika uwanja wao wa nyumbani, Alikua si mwingine Ivan Tooney aliipatia klabu ya Brentford bao la mapema kabisa kabla ya Phil Foden kuisawazishia City kabla ya mapumziko.manchester cityKipindi cha pili kilianza kwa kasi huku Manchester City wakionekana kuhitahiji bao la pili kwa udi na uvumba lakini vijana wa Thomas Frank walikua makini na kuzuia kwa nidhamu ya hali ya juu.

Mchezo ulikua mgumu sana huku milango ya timu zote mbili pia ikiwa migumu mpaka pale dakika tisini zilipomalizika na kuongezwa dakika 10 hapo ndipo Brentford walipiga shambulizi la kushtukiza na kufunga bao la pili kupitia muuaji yuleyule Ivan Tooney na mchezo kumalizika hivo.manchester city Klabu ya Manchester City wanapoteza mchezo wao wa pili kwenye ligi kuu msimu huu baada ya kufungwa na klabu ya Liverpool, matokeo haya yataifanya klabu ya Arsenal luomgoza kwa alama tano kama watashinda mchezo wao wa leo dhidi ya Wolves.

aviator

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa