Klabu ya soka ya Tottenham imefanikiwa kushinda dhidi ya klabu ya Leeds United kwenye mchezo wa ligi kuu ya Uingereza mchezo huo uliopigwa katika dimba dimba la Tottenha Hotspur.

Mchezo huu uliokua wa piga nikupige ambapo klabu ya Tottenham walifanikiwa kushinda jioni kabisa kupitia bao la Rodrigo Bentacur raia wa Uruguay katika mechi hiyo ya kusisimua zaidi jioni ya leo kuna ligi kuu ya Uingereza.TottenhamKatika mchezo huo vijana wa Leeds ndio walioanza kupata bao kupitia kwa kinda mwenye ubora mkubwa Crysencio Summerville kabla ya Harry Kane kusawazisha na Leeds kuongeza tena bao kupitia kwa Rodrigo na mchezo kwenda mapumziko Leeds wakiwa mbele.

Kipindi cha pili cha pili kilianza kwa  Spurs kusawazisha bao kupitia kwa beki wake wa kushoto Ben Davies na Leeds wakijibu mapigo kupitia kwa Rodrigo kuongeza bao la tatu.tottenhamRodrigo Bentacur ndio aliekuja kuhakikisha ushindi kwa Spurs baada ya kusawazisha na kufunga bao la nne kwenye dakika za lala salama na kuwafanya Spurs kuondoka na alama tatu muhimu kwenye mchezo huo mgumu.

Klabu ya Tottenham wamefikisha alama 29 wakiwa katika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi kuu ya Uingereza, Nafasi ambayo wanaweza kudumu kwa muda mchache kama Newcastle watashinda mchezo wao dhidi ya Chelsea wakiwa wanafikisha alama 30.

aviator

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa