Tottenham na Wenzake Kuvuta Pumzi ya Moto Leo Uefa

Klabu ya Tottenham Hotspurs na wenzake katika kundi D watakua na kibarua kigumu sana katika michezo yao ya mwisho itakayopigwa leo hii ya kuwania kufuzu kwenye hatua ya 16 bora ya ligi ya mabingwa baranu ulaya.

Kundi D ambalo linahusisha timu za Olympique Marseille, Entchrat Frankfurk, Sporting Cp na klabu ya Tottenham mpaka leo mechi ya mwisho kila timu ina nafasi ya kufuzu hatua inayofuata ya michuano hiyo.tottenhamKlabu ya Tottenham Hotspurs ambao ndo vinara wa kundi hilo wakiwa na alama 8 watakua ugenini leo nchini Ufaransa kumenyana na Olmpique Marseille wenye alama 6 hivo yeyote atakaeshinda mchezo huo anasonga mbele.

 

Pale katika dimba la Jose Alvalade nchini Ureno Sporting Cp watawakaribisha Frankfurt ambapo timu zote zikiwa na alama 7, hivo yeyote atakaeshinda mchezo huu ana nafasi kubwa ya kufuzu hatua inayofuata na kupelekea mchezo kutazamiwa kua mgumu kutokana na hali hiyo.tottenhamKundi D ni kundi ambalo halitazamiwa kua kundi la kifo wakati droo inapangwa ya michuano ya ligi ya mabingwa ulaya mwezi wa nane, Lakini michuano ilipoanza ndio limekua kundi gumu zaidi na kuonekana ndio kundi la kifo.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.