Katika mwendelezo wa Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara, klabu ya Geita Gold wanatarajia kumualika KMC nyumbani kwao majira ya saa 10:00 jioni ambapo timu zote zimetoka kupoteza michezo yao iliyopita.

 

Geita Gold Kukipiga Dhidi ya KMC Leo

Geita ya Felix Minziro wamecheza michezo 10, wameshinda mitatu wakienda sare nne, kupoteza mara 3 na wamejikusanyia alama 13 kwenye Ligi mpaka sasa, wakiwa nafasi ya 10 kenye msimamo.

Na kwa upande wa KMC ya Hitimana wao ni vile vile ndani ya mechi 10, wameshinda michezo mitatu, sare nne, wamepoteza michezo mitatu na wana pointi 13 sawa na Geita, nafasi ya 9 kwenye Ligi  japokuwa kinachowatofautisha ni mabao ya kufunga na kufungwa.

Geita Gold Kukipiga Dhidi ya KMC Leo

Timu hizi zimetoka kupoteza michezo yao iliyopita huku mechi za mwisho kukutana kila timu ilichukua pointi tatu nyumbani kwake.


AVIATOR

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa