Bado kesho ya golikipa Aishi Manula haieleweki ndani ya Simba Kwa kuwa mpaka Sasa hajaungana na wenzake Pre- Season inayoendelea Misri.

Taarifa zinadai kuwa, ni kama viongozi hawaoni sababu ya kuendelea naye tena lakini hofu Yao ni Kwamba asije akaenda timu zingine ikiwemo Azam FC ambao wapo mstari wa mbele kutaka kumrejesha.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
Hadi Sasa Manula ameshapona majeraha yake na yupo tayari kuitumikia klabu yake ingawa bado Kuna giza.


