DJUMA SHABAN ASAINI MWAKA MMOJA NAMUNGO

Aliyewahi kuwa mlinzi wa kulia ndani ya Yanga SC, raia wa DR Congo Djuma Shaban amejiunga na klabu ya Namungo Kwa mkataba wa mwaka mmoja.

DJUMA SHABAN ASAINI MWAKA MMOJA NAMUNGO

Namungo wamefanikiwa kuipata Saini ya Djuma siku chache Baada ya taarifa ya kuwa Coastal Union walikuwa wamefikia pazuri kwenye kuisaka Saini ya Beki huyo.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Namungo ushawishi wao umekuwa bora zaidi ya Coastal Union ambao walikuwa vitani nao kuiwania saini yake kutokana na uwepo wa Kocha Mwinyi Zahera kwenye timu hiyo.

DJUMA SHABAN ASAINI MWAKA MMOJA NAMUNGO

Muda wowote atawasili nchini Tanzania ili kuungana na kikosi hicho kipya tayari kwa maandalizi ya msimu mpya.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

Acha ujumbe