Katika mwendelezo wa Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara, Azam watakuwa ugenini kucheza dhidi ya Mtibwa Sugar ya Morogoro majira ya saa 10:00 katika uwanja wa Manungu Morogoro.

 

Je Azam Kuendeleza Ushindi Wa 4 Mfululizo Leo?

Azam ambaye yupo nafasi ya pili baada ya kujivunia pointi zake 20, anatarajia kucheza mechi yake ya 11 ambapo katika mechi tatu mfululizo zilizopita ameshinda zote tatu wakati hii leo anatazamiwa kupata pointi 3 za nne mfululizo.

Wakati Mtibwa yeye mechi tatu zilizopita kashinda mbili na kapoteza moja, yupo nafasi ya 7 baada ya kucheza michezo 10 sare tatu na pointi zake 15 kibindoni, huku mechi ya mwisho akitoka kupoteza kwa idadi kubwa ya mabao na kuondoka na adhabu ya kadi nyekundu mbili.

Je Azam Kuendeleza Ushindi Wa 4 Mfululizo Leo?

Mechi mbili za mwisho kukutana timu hizi mbili, Wanalambalamba walishinda zote na kuchukua pointi sita kwa walima miwa hawa.


AVIATOR

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa