KOCHA AL MERREIKH AKONDA NA YANGA

Kocha mkuu wa Al Merreikh ya Sudan Osama Nabieh ameweka wazi kuwa ana mtihani mzito mbele ya Yanga kutokana na ubora wa Yanga wa sasa lakini pia na mfululizo wa michezo ya ligi wanaoipata tofauti na wao.

 

KOCHA AL MERREIKH AKONDA NA YANGA

Al Merreikh wanatarajiwa kukutana na Yanga katika mchezo wa kufuzu makundi ya Ligi ya Mbaingwa Septemba 16 katika Uwanja wa Pele nchini Rwanda.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Akizungumza kuelekea mchezo wao unaofuata dhidi ya Yanga kocha huyo alisema kuwa:“Tunatarajia kukutana na upinzani mgumu kutoka kwa Yanga kutokana na ubora wao mkubwa ambao wamekuwa wakiuonyesha katika michuano ya kimataifa katika siku za karibuni.

KOCHA AL MERREIKH AKONDA NA YANGA

“Pili wenzetu wanapata faida kubwa ya kucheza michezo ya ligi kuu ambapo inawapa uwezo mkubwa wa kujijenga zaidi na kufahamu wapi kuna mapungufu na wapi kunatakiwa kufanyiwa maboresho.”

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Malengo yetu ni kuona tunafika makundi kama msimu uliopita, sisi tunayo changamoto ya kukosa mechi nyingi lakini naamini tunayo nafasi nzuri ya kufanya vyema dhidi yao na kutimiza malengo yetu, alisema kocha huyo.

Acha ujumbe