Yanga Yatoa Somo kwa Timu za Bongo

yanga

MABINGWA Watetezi wa Ligi Kuu ya NBC Dar Young Africans (Yanga) imeendelea kutoa somo la namna ya kufunga na kucheza soka safi. Odds kubwa mechi kubwa na ushindi mkubwa Meridianbet

Hii ni baada ya kuendeleza dozi ya 5G kwa timu inazokutana nazo, JKT Tanzania nae amekutana na mnara wa mabao ya 5G huku Mcongo Man Maxi Nzengeli akitamba zaidi za aina yake ya uchezaji na jinsi anavyofunga magoli.

Katika mchezo huo uliopigwa dimba la Azam Complex Maxi alifunga mabao 2 na kufanya ubao wa matokeo kusoma 5-0. Unaweza kutengeneza jamvi lako la matokeo ya idadi ya magoli Yanga atafunga, chaguo hili lina odds kubwa na unalipata Meridianbet pekee.

Baada ya Mchezo huo wa raundi ya pili, unaifanya Yanga kukaa kileleni mwa Ligi Kuu kwa alama sawa na Simba & Azam FC, huku akiongoza kwa idadi kubwa ya mabao ya kufunga akiwa na mabao 10 na Clean Sheet 2.

Michezo ya Sloti na kasino ya mtandaoni ni chimbo pekee la kuchimba minoti kwa sekunde tu, ubakuwa tajiri.

CHEZA KASINO

Acha ujumbe