Gamondi Ataja Siri ya Ushindi Yanga

GAMONDI

Kocha Muargentina Miguel Gamondi tangu achukue kijiti cha kukinoa kikosi cha Yanga amejidhirisha kuwa na falsafa ya kushambulia kwa kasi kuanzia eneo la juu la mpinzani wake Meridianbet odds kubwa kila mechi.

Katika mechi 4 za kimashindano Yanga imefunga jumla ya mabao 19 na kufungwa bao 1 tu, hii inatoa taswira ya hatari kwa wapinzani wanaokutana na Yanga katika Mechi zijazo.

Kamata ushindi wa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti kirahisi Bonyeza hapa.

Gamondi amewasifu wachezaji wake kwa kujituma na kutekeleza majukum anayowapatia ndani ya uwanja, huku akitaja siri ya kufunga idadi kubwa ya magoli.

“Wachezaji wangu wana hamu ya kufunga kwa kila mmoja na hatutegemei mchezaji mmoja kufunga bali anafunga yeyote, haiwezi kuwa kila siku kushinda magoli 5 lakini ikitokea tunafanya hivyo” Miguel Gamondi Alizungumza baada ya mchezo dhidi ya JKT TANZANIA.

Shinda ndoto zako kirahisi na Jamvi lako moja tu kutoka Meridianbet nyumba yenye utajiri wa odds kubwa na machaguo mengi.

Acha ujumbe