Wanaoipa JEURI Simba Waitwa Kambini.

SIMBA

BAADA ya Ligi kusimama kupisha mechi za timu ya taifa, wachezaji wa Simba walivunja kambi yaomkwa wiki moja na sasa unaambiwa Kocha Robertinho hataki mchezo amewaita mastaa wake kambini kujiandaa na mchezo wa Kimataifa dhidi ya Power Dynamos ya Zambia. Andaa jamvi lako lenye mechi hii kubwa kupitia Meridianbet.

Simba wameanza tizi jana katika uwanja wa Mo Simba Arena huko Bunju, huku kukiwa na mastaa kibao wanaoipa jeuri Simba kwa msimu huu. Jeuri ya pesa unaipata Meridianbet nyumba yenye utajiri wa odds kubwa.

Mastaa kama Wily Essomba Onana, Chama, Saido, Miquissone, Fabrice Ngoma nk, na pia Beki kitasa Mcongoman Henoc Inonga alionekana akifanya mazoezi baada ya kuumia kwenye fainali za Ngao ya Jamii huko Tanga.

Afisa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ally amesema kwamba mchezo wao wa kwanza utapigwa tarehe 16 Septemba huko Zambia, na kwamba Uongozi umejipanga kusafirisha mashabiki.

“Tumefikiria kama Uongozi kutoa bus kwaajili ya mashabiki kama ilivyokuwa kwa mechi za hapa nchi za jirani, Uganda, Zambia, Malawi nk, hivyo gharama za shabiki mmoja ni Tsh 200,000/= na gari litaanza safari kuelekea Zambia” Ahmed Ally.

Lakini pia amesema katika kujiandaa na michezo hiyo ya kuwania kufuzu makundi ya Klabu Bingwa Afrika, kikosi cha Mnyama kitacheza mechi za kirafiki, ili kujiweka sawa kutokana na ligi kusimama.

Kamilisha malengo ukibashiri kupitia Meridianbet au kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni.

Acha ujumbe