Kocha Simba Amkubali Chama, Ntibazonkiza na Mzamiru

KOCHA Mkuu wa Simba SC amewapongeza wachezaji wake kwa kiwango bora na mchezo mzuri waliouonesha kwenye mchezo dhidi ya Singida BS, kwenye dimba la Benjamin Mkapa. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

simba

Robertinho ambaye alirejea nchini kutokea Brazil alipoenda kufanya mitihani, alisema kuwa ameiandaa timu yake kwa mpira wa kushambulia kwa kasi kitu ambacho jana kimeoneshwa kwa kiasi kikubwa na wachezaji wake.

“Wachezaji wote wa timu yangu walicheza vizuri, nimependa walivyocheza Chama, Saidoo Ntibazonkiza na Mzamiru ni wachezaji wazuri sana”- Robertinho

Simba wamekutana mara mbili na Singida BS ambapo mchezo wa kwanza ulichezwa uwanja wa Liti Singida na mchezo kumalizika kwa sare ya 1-1, na mchezo wa jana ulimalizika kwa Mnyama kupata ushindi wa mabao 3-1 yakifungwa na Jean Baleke, Saidoo Ntibazonkiza na Pape Sakho. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

 

simba

Ushindi huo unaifanya Simba SC kufikisha pointi 53 wakiwa nafasi ya pili, nyuma ya vinara wa Ligi kuu ya NBC Yanga SC wenye pointi 56 na michezo 21 ambapo leo watacheza na Namungo FC endapo watashinda watafanya utofauti wa msimamo kuwa na pointi 6. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa na zawadi ya ukaribisho ukijiunga. Bashiri hapa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.