Mtibwa Kukiwasha Dhidi ya Dodoma Jiji

Ligi kuu ya Tanzania Bara kuendelea kesho kwa mchezo mmoja ambapo timu ya Mtibwa Sugar ya mkoani Morogoro itamkaribisha nyumbani kwake Dodoma Jiji majira ya saa 10: 00 jioni.

 

Mtibwa Kukiwasha Dhidi ya Dodoma Jiji

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa katika dimba la Manungu huku kila timu ikihitaji pointi 3 muhimu ili iweze kusogea nafasi ya juu yake kabla ya msimu kuisha.

Mtibwa Sugar wapo nafasi ya 9 mpaka kwenye ligi baada ya kucheza michezo yao 22, ushindi mara sita, sare nane, na kupoteza michezo nane huku wakijikusanyia pointi zao 26.

Wakati kwa upande wa Dodoma wao wapo nafasi ya 11, baada ya kushinda michezo yao saba, sare tatu n akupoteza mara 12 wakiwa na alama zao 24 kibindoni. Japokuwa bado nafasi waliyopo sio nzuri endapo wanataka kusalia ligi kuu.

Mtibwa Kukiwasha Dhidi ya Dodoma Jiji

Mechi ya mwisho mwenyeji alitoa sare huku mgeni yey akijipatia pointi tatu, huku mechi ya mwisho kukutana timu hizi mbili, mwenyeji aliondoka na ushindi. Je kesho ni siku ya mgeni naye kulipa kisasi?

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.