Mchezaji wa Mbeya City Sixtus Sabilo ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Oktoba baada ya kuwa ni mchezaji mwenye mchango mkubwa kwa timu yake ndani ya NBC Primia Ligi.

 

Sabilo Mchezaji Bora wa Mwezi Oktoba

Sabilo ambaye alikuwa ni mchezaji wa zamani wa Namungo, na baadae kuhamia kwa Wanakoma Kumwanya ndiye kinara wa mabao kwenye timu yao hiyo ambayo sasa ipo nafasi ya 5 kwenye Ligi.

Katika mechi za mwezi Oktoba ambazo Mbeya City wamecheza Sabilo amekusika na ushindi kwa kiwango kikubwa sana. Mechi ya tarehe 2 Oktoba dhidi ya Mtibwa alitoa assist ya kusawazisha bao na kufanya mchezo kuisha 2-2 na kuondoka na pointi 1.

Mechi ya tarehe 8 Oktoba, alifunga bao dhidi ya Ihefu ambapo baadae lilikuja kusawazishwa na kufanya mchezo kuisha kwa sare ya 1-1 walipokuwa nyumbani kwao. Na mechi ya mwisho walicheza Oktoba 14 dhidi ya Polisi Tanzania ambapo walishinda kwa mbao 3-1, huku Sabilo akiingia kambani mara moja na kutoa assist moja ya bao.

Sabilo Mchezaji Bora wa Mwezi Oktoba

Hivyo basi hizo ndizo mechi ambazo zimefanya Sixtus kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Oktoba kutokana na mchango wake ambao ameufanya katika tiu yake hiyo ya Mbeya City.


aviator

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa