Timu ya Mbeya City inatarajia kumwalika Coastal Union nyumbani kwake kwaajili ya mchezo wao wa Ligi kuu ya NBC unaotarajiwa kupigwa majira ya saa 8:00 mchana katika uwanja wa Sokoine Mbeya.

 

Mbeya City Kumkaribisha Coastal Union Leo

Mbeya City wapo nafasi ya 5 baada ya kucheza michezo yao 9 kwenye ligi wakiwa wameshinda michezo minne, sare tatu na lupoteza mara mbili, wamejikusanyia pointi 15 mpaka sasa.

Coastal Union (Wagosi wa Kaya) wao wapo nafasi ya 11 baada ya kucheza michezo nane, wameshinda mara tatu sare mbili na kupoteza mara tatu pointi 11 kibindoni huku wakitoka kushinda mechi yao iliyopita.

Mbeya City Kumkaribisha Coastal Union Leo

Msimu uliopita timu hizi zilipokutana, Wagosi wa Kaya walichukua pointi 6 nyumbani na ugenini.


aviator

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa