Simba Kuanza Leo Hatua ya Makundi Dhidi ya Horoya

Klabu ya Simba inatarajia kushuka Dimbani hii leo kucheza mchezo wake wa kwanza wa hatua ya makundi dhidi ya Horoya ya huko Guinea majira ya saa 1:00 usiku.

 

Simba Kuanza Leo Hatua ya Makundi Dhidi ya Horoya

Simba ambayo ipo Kundi C itaanza ugenini kabla ya kuja nyumbani kumenyana dhidi ya Raja Casablanca ambaye jana ametoa kipigo kizito kwa timu ya Vipers ambayo inatokea nchini Uganda.

Timu hiyo ambayo ipo chini ya kocha Mbrazil wamejiandaa kupata ushindi huko ugenini ili waweze kufanya vizuri kwenye mechi zao zinazofuata huku kundi hilo likiwa na timu kutoka Morocco ilishawahi kubeba taji hilo msimu juzi.

Wekundu wa Msimbazi wataingia dimbani huku wakimkosa kiungo wao Said Ntibanzokiza ambaye ni majeruhi huku akiwa mchezaji aliyeongeza kitu kwenye kikosi cha Roberto.

Simba Kuanza Leo Hatua ya Makundi Dhidi ya Horoya

Je Msimbazi ataanzaje hii leo huko Guinea? ODDS KUBWA unazipata Meridianbet na usikose kubashiri mechi hii.

 

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.