Leo hii ligi kuu ya NBC Tanzania inaendelea kwa michezo miwili ambapo mchezo wa mapema kabisa ni huu wa Simba SC ambaye atakuwa ugenini dhidi ya Tanzania Prisons.

Mchezo huo utapigwa majira ya saa 10: 00 jioni katika dimba la Sokoine jijini Mbeya, huku timu zote zikihitaji kupata ushindi kwenye mchezo huu wa leo.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
Ikumbukwe kuwa Simba chini yakocha mkuu Davids Fadlu wametoka kupoteza mechi yao iliyopita dhidi ya mtani wao hivyo mchezo huu wa leo ni muhimu sana kwao ili waweze kupunguza gepu la pointi ambalo wanalo.


