Shirikisho la soka Afrika (CAF ) limehitimisha kazi ya kupanga droo leo hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika ambapo klabu ya Simba SC imepangwa Kundi A.

Simba imepangwa pamoja na CS Sfaxien ya Tunisia, CS Constantine ya Algeria na Bravos do Maquis ya Angola. Hatua hiyo inatarajiwa kuanza Novemba 26, 2024 hadi Januari 17, 2025.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
Kila kundi timu mbili ndio zitafuzu kucheza robo fainali, ambapo kwenye kundi la Simba kuna timu za kutoka Mataifa ya Afrika Kaskazini ambayo yana nguvu katika soka la Afrika.


