Yanga Yaangukia Kundi A Kundi la Klabu Bingwa

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepanga pia makundi ya klabu bingwa ambapo nchini Tanzania ni Yanga pekee ndiye anayeshiriki kombe hilo baada ya Azam kutolewa hatua ya awali.Yanga Yaangukia Kundi A Kundi la Klabu Bingwa
Yanga SC ya Tanzania ambao ndio Wawakilishi wa Tanzania katika michuano hiyo wamepangwa kundi A na timu za TP Mazembe ya Congo DR, Al Hilal ya Sudan na MC Alger ya nchini Algeria.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Msimu uliopita Yanga SC aliishia hatua ya robo fainali ya michuano hiyo na kutolewa na Mamelod huku kutolewa huko kukiwa hakujaridhiwa na mashabiki wa klabu hiyo pamoja na viongozi wao.

Yanga Yaangukia Kundi A Kundi la Klabu Bingwa

Young Africans chini ya kocha mkuu Miguel Gamondi imeendelea kufanya vyema kwenye ligi ambapo hadi sasa ikiwa na timu pekee ambayo imeshinda mechi zake zote nne alizocheza akiwa na Cleanshit juu.

Klabu hiyo pia imefanya ongezeko la wachezaji kama vile Cloutus Chama, Baleke, Abuya na wengine wengi ambao wanaonekana kuwa na msaada klabuni hapo ikisemekana ndio klabu tishio kwasasa Afrika Mashariki.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

Yanga Yaangukia Kundi A Kundi la Klabu Bingwa

Je msimu huu Wananchi watafika hatua gani kwenye michuano hii ya klabu bingwa barani Afrika?.

Acha ujumbe