Leo hii hii Yanga ambao ndio mabingwa watetezi wa ligi watawalika JKT Tanzania kusaka pointi zingine 3 katika dimba la Azam Complex majira ya saa moja usiku.

Yanga ndio timu pekee mpaka sasa kwenye ligi ambayo haijapoteza mchezo wowote kwenye ligi ikiwa imeshinda mechi zote kwenye michezo mitano hadi sasa na kukusanya pointi 15.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
Lakini pia golikipa wa timu hiyo Djigui Diarra akiwa ndiye mlinda mlango pekee ambaye hajaruhusu nyavu zake kutikiswa akiwa na Cleen shit 5.



