SIMBA WAWAFANYIA UMAFIA AL AHLY

Uongozi wa Klabu ya Simba umeamua kuwafanyia umafia Wapinzani wao Al Ahly Baada ya kutuma makachelo Misri kuweka mipango kuelekea mchezo wao wa marudiano Baada ya huu wa leo Kwa Mkapa.

SIMBA WAWAFANYIA UMAFIA AL AHLY

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wekundu wa Msimbazi Imani Kajula amesema mipango ya mchezo wa marudiano utakaopigwa nchini Misri ni wa kufa na kupona na ndiyo maana wamefanya mpango wa namna gani ya kwenda kupata matokeo wakiwa ugenini.

“Simba ni klabu yenye uzoefu mkubwa wa michuano ya Afrika na hili lipo wazi kazi kubwa ishafanyika Cairo ikiwemo kujua tunakaa wapi , tunafanya wapi mazoezi na vitu vingine vyote vya msingi”

Advance team yetu tayari ipo Cairo na inafanya maandalizi kwenye hilo lakini kingine niwaambie mashabiki wachangamkie “Hello Cairo” ambayo hii Mnyama itapeleka mashabiki na tayari kuna mashabiki wengi wameshakata tiketi kwenda kwenye mechi ya marudiano ambayo itafanyika Cairo huko Misri. Amesema Kajula.

SIMBA WAWAFANYIA UMAFIA AL AHLY

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

Acha ujumbe