Usajili wa Miquissone Simba Wafika Patamu

Miquissone

Moja ya mchezaji anayehitajika kwa muda huu pale Simba SC ni Luís Jose Miquissone, na taarifa za usajili huo ambao wengi wanatamani urejeo wa mchezaji huo. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Uongozi wa Simba umemfuata Luis Miquissone na kumshawishi ajiunge na Simba, bado mchezaji kasimamia maslahi yake.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Simba Umewapa taarifa klabu yake ya sasa Al ahly kuulizia uwezekano wa klabu hiyo kumsajili Konde Boy kwa mkopo, chanzo cha kuaminika ndani ya Simba kimebainisha.

Miquissone-simba

Luis Miquissone anataka kulipwa mshahara wa wa TZS 46M, lakini mpaka sasa Uongozi wa Simba umeongea na mchezaji huyo na kutaka kumpa kiasi cha TZS 24m.

Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Baada ya kuambiwa hivyo, Uongozi wa Simba uliwasiliana na klabu ya Miquissone (Al ahly) na kuitaka wagawane kumlipa mchezaji huyo, huku Simba akipendekeza kulipa 30% na 70% zilizobaki Al ahly wamlipe chezaji.

Mazunguzo bado yanaendelea huku Simba wakiwa na uhakika wa kumrejesha tena Luis Jose Miquissone msimu ujao, ili akipige kwenye Kimataifa, ikumbukwe mchezaji huyo anataka kupata muda mwingi wa kucheza na anaamini urejeo wake Simba utamfanya kuonekana tena kwenye soka la ushindani.

Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.

Acha ujumbe