Yanga Kufanya Pre-Season Bongo

yanga

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa hawatakuwa na ratiba ya kusafiri na kwenda kuweka kambi nje ya nchi kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao (Pre-Season). Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe aliweka bayana juu ya mpango huo na akieleza sababu ya kufanya hivyo ni kutokana na muda kutokuwa rafiki sana kabla ya msimu ujao kuanza.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

“Niwe muwazi kabisa sisi kama Yanga SC tumeangalia muda uliopo na ukubwa wa mashindano makubwa yaliyo mbele yetu tumeona Kambi yetu ya kujiandaa na msimu (Pre- season) tuifanye hapa nyumbani Tanzania.

“Sisi mwaka huu pia pre- season yetu haitakuwa nje ya nchi maana yasije yakatukuta kama yala ya Morocco unachukua muda mwingi kusafiri halafu unapata muda mchache wa kujiandaa,” alisema Ali Kamwe.

Kamwe alisema wachezaji wao wanatarajia kuingia Kambini Julai 10 kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya, lakini pia Kocha wao mkuu Miguel Angel Gamondi anatarajia kuwasili nchini mwishoni mwa wiki hii. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Lakini pia Kamwe alisema Yanga watakwenda Malawi ambako wamealikwa na serikali ya nchi hiyo na watacheza mechi ya kirafiki.

Kikosi ambacho kitasafiri kwenda nchini Malawi kwenye mchezo wa Kirafiki kwenye maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Malawi kitakuwa chini ya kocha wa Vijana wa Yanga SC, Said Maulidi pamoja na Meneja Walter Harrison ndilo ambalo litakuwa benchi la Ufundi.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Acha ujumbe