Manchester United wamemruhusu Aaron Wan-Bissaka kuondoka katika klabu hiyo msimu huu wa joto kwani beki huyo hatakuwa sehemu ya mipango ya Erik ten Hag atakapoanza kazi Old Trafford.

Ole Gunnar Solskjaer alimsajili Wan-Bissaka kutoka Crystal Palace mnamo 2019 kwa pauni milioni 50. Hata hivyo, mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 ameshindwa kupata nafasi kwenye timu hiyo.

 

Wan-Bissaka, Aaron Wan-Bissaka Ruksa Kuondoka United!, Meridianbet

Wan-Bissaka ameshindwa kuonyesha kiwango chini ya Ralf Rangnick – huku meneja huyo wa muda akimpa nafasi Diogo Dalot badala yake.

The Red Devils wangependelea mkataba wa kudumu kwa kinda huyo mwenye umri wa miaka 24 lakini wapo tayari kwa kumuuza kwa mkataba wa mkopo iwapo una kipengele cha kumnunua moja kwa moja.

Wan-Bissaka amecheza mechi 26 katika mashindano yote msimu huu. Hajachangia vyema katika hesabu ya mabao ya Manchester United lakini amefunga bao la kujifunga.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa