Meneja wa Everton, Frank Lampard amesifu upambanaji wa timu yake baada ya Dominic Calvert-Lewin kufunga goli la ushindi dakika 5 kabla mchezo kuisha dhidi ya Crystal Palace na Blues kuendelelea kusalia EPL kwa miaka 71.

Wakihitaji ushindi ili kujiweka salama na kuepuka msimu mbaya Kabla ya mchezo wa mwisho dhidi ya Arsenal wanaowinda nafasi nne za juu, hali ilionekana kuwa mbaya walipolala 2-0 ndani ya dakika 36.

 

everton, Everton Wajihakikishia Kusalia EPL., Meridianbet

Everton walitoka nyuma na kuifunga Palace 3-2 na kujihakikishia kusalia Ligi ya Premia, na kusababisha uvamizi mkubwa wa mashabiki kwenye dimba la Goodson Park.

Everton itasafiri kuifwata Arsenal na Crystal Palace itaikaribisha Manchester United katika michezo ya mwisho ya msimu wa Ligi Kuu Jumapili saa kumi na mbili jioni.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa