Al Merrikh Waahidiwa Milion 184 Kuifunga Simba


 

Rais wa Klabu ya Al-Merrikh, Adam Sudacal kaahidi kitita cha zaidi ya dola elfu 80 (zaidi ya Sh milioni 184.9) kuwapatia wachezaji wake endapo watafanikiwa kuifunga Simba SC.

Vyombo vya habari kutoka Sudan, vimeeleza , kwamba, habari ya mjini katika Mji wa Khartoum ambapo Simba itacheza na Al Merrikh Jumamosi hii, kwa sasa ni Luis Miquissone ambaye amepelekea mchezo huo kuwa na mwamko mkubwa.

Unaambiwa mambo yameharibika Sudan, mchezo wetu na Al Merrikh utakuwa mgumu kupita mechi zote tulizocheza maana bosi wa klabu yao ameahidi zaidi ya dola elfu 80 ili watufunge.

Mbali na hilo, tangu CAF walipotoa jina la Miquissone kuwa ndiye aliyefunga bao bora yaani mambo yameharibika kabisa kiasi kwamba gumzo lao kwa sasa ni mpango mkakati wa kumzuia,” kilisema chanzo hicho.


Ni Muda wa Kuvuna Mkwanja na Jungle Jim and the Lost Sphinx

Hauihitaji kufikira mara mbili ni mchezo gani utakupatia mkwanja ndani ya kasino za Meridianbet. Jiunge sasa ufurahie Jungle Jim and the Lost Sphinx.

  CHEZA HAPA

8 Komentara

    Kaz hipo hapo leo ndio leo

    Jibu

    Ngoja tuone

    Jibu

    Kitaeleweka mwisho wa mpambano

    Jibu

    Hii ofa ni nomaa

    Jibu

    Mambo yanazidi kunoga meridianbet

    Jibu

    Kazi wanayo

    Jibu

    Kazi ipo

    Jibu

    labda wangekuwa wanacheza na yanga wangepata hilo donge nono

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.