Meneja wa Real Madrid, Carlo Ancelotti amekuwa meneja wa kwanza katika historia kutinga fainali tano za Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya Real Madrid kuwalaza Man City kwa jumla ya mabao 6-5.
Baada ya kuwa kocha wa kwanza kushinda ligi zote tano bora za Ulaya, Carlo Ancelotti ameweka jina lake kwenye vitabu vya historia tena kwa kutinga fainali yake ya tano ya Ligi ya Mabingwa.
Ushindi wa 4-0 wa Real dhidi ya Espanyol Jumamosi ulimweka pekee katika historia katika timu alizoziongoza kutoka Serie A, Ligi ya Premia, Ligue 1, Bundesliga na La Liga.
Ancelotti, 62 tayari ndiye meneja wa kwanza kuongoza vilabu vinne tofauti kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa, na baada ya ushindi mnono wa muda wa ziada dhidi ya City kwenye Uwanja wa Bernabeu, sasa ndiye meneja pekee katika historia kutinga katika fainali tano za Ligi ya Mabingwa.
Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.