Klabu ya Simba SC imefanikiwa kubeba tuzo zote mbili za mwezi wa sita katika nafasi ya kocha bora (Gomez) na mchezaji bora (Bocco) wa mwezi zinazotolewa kila mwezi na bodi ya ligi kuu.
Mshambuliaji wa Simba SC, John Bocco amefanikiwa kushinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Juni, 2021.
Wakati Kocha wa Simba SC, Didier Gomes amefanikiwa shinda tuzo ya kocha Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Juni, 2021.
Ndio, kama bado hujajiunga na Familia ya Mabingwa ya Meridianbet, huu ndio wakati wako! Tunakupatia Bonasi ya 3,500 Tsh papo hapo kama sehemu ya ukaribisho!
Ernest
Simba imetisha sana msimu huu