Klabu ya Chelsea hatimaye imeshinda hapo jana kwa mabao 3-0 dhidi ya Luton Town wakiwa katika dimba lao la Stamford Bridge tangu ligi ianze.

 

Chelsea Yapata Ushindi wa Kwanza EPL

Mabao hayo ya kuiteketeza Luton yalitupiwa kimyani na Raheem Sterling 02, na Jackson 01 na kuwafanya vijana hao wa Pochettino kupata ushindi ambao hawakuupata kwenye mechi zao mbili za kwanza.


Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Vijana wa Pochettino wanaendelea kuimarika taratibu kutokana na mabadiliko ya kikosi ambayo wameyafanya kwa kutumia pesa nyingi kufanya usajili wa wachezaji na kumleta kocha mpya.

Chelsea Yapata Ushindi wa Kwanza EPL

Luton wamepanda daraja msimu huu na mpaka sasa kwenye mechi mbili walizocheza hawajapata pointi yoyote huku ligi kuu ya Uingereza ikiendelea kuwa ngumu kutokana na timu nyingi kujipanga vizuri.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Chelsea Yapata Ushindi wa Kwanza EPL

Chelsea msimu uliopita walishika nafasi ya 12 huku wakikosa kushiriki michuano ya Ligi ya mabingwa kutokana na kiwango kibovu ambacho walichokuwa nacho. Sasa itashiriki FA na Carabao pekee.

 


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa