Bayern Haitasajili Mchezaji Yeyote Januari: Hainer

Rais wa klabu ya FC Bayern Munich Herbert Hainer amesema kuwa klabu yake haitasajili mchezaji wa aina yeyote Januari, na wanataka kuhakikisha kuwa wachezaji wao ambao walionao wapo vizuri na wanapata muda wa kucheza.

 

Bayern Haitasajili Mchezaji Yeyote Januari: Hainer

Bayern ndio mabingwa watetezi wa Bundesliga wakichukua ubingwa mara nyingi zaidi huko Ujerumani na kuwa na mafanikio kuliko timu yoyote baada ya kuwa na mwendelezo mzuri wa kubeba taji hilo kila mwaka na wachezaji wenye ubora.

Bayern ambayo kwasasa ipo chini ya kocha Julian Nagelsmann msimu huu imefanya usajili wa wachezaji wachache akiwemo Sadio Mane aliyetoka Liverpool lakini pia klabu hiyo ndio vinara wa Bundesliga wakiwa na pointi 28, baada ya michezo 13 waliyocheza.

Bayern Haitasajili Mchezaji Yeyote Januari: Hainer

Rais huyo pia alimsifia Nagelsmann akisema kuwa kocha huyo anasimamia hilo vizuri sana wachezaji wanafanya vizuri na wanaleta matokeo yanayoridhisha, huku klabu hiyo ikitaka kuchukua tena taji hilo msimu huu.

Pia Mabavaria hao wameshatinga hatua ya 16 bora ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya kwa kuongoza kundi C baada ya kushinda mechi zake zote sita na kujipatia pointi 18 hivyo anasubiri atapangwa na nani.

Bayern Haitasajili Mchezaji Yeyote Januari: Hainer

Jana pia wametoka kushinda mchezo wao walipokuwa ugenini dhidi ya Hertha Berlin kwa mabao 3-2.


AVIATOR

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

Acha ujumbe