Haaland Aiokoa City Kwa Penalti ya Dakika ya Mwisho

Mshambuliaji hatari wa Manchester City Erling Haaland ameiokoa timu yake hapo jana baada ya kutokea benchi na kufunga bao la mkwaju wa penati lililowapa ushindi wa 2-1 dhidi ya Fulham.

 

Haaland Aiokoa City Kwa Penalti ya Dakika ya Mwisho

Haaland alikuwa nje kwa kwa wiki kadhaa baada ya kupata jeraha kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa kwenye mchezo dhidi ya Borrusia Dortmund na kukosa michezo takribani miwili na kurejea hapo jana.

City ya Guardiola walipata adhabu ya kadi nyekundu katika dakika ya 26 ya mchezo huku wakiwa tayari wanaongoza bao lililofungwa na Alvarez , baada ya kuwa wapo pungufu Fulham nao wakajipatia bao la kusawazisha.

Haaland Aiokoa City Kwa Penalti ya Dakika ya Mwisho

Haaland baada ya kufunga bao hapo jana linakuwa ni bao lake la 23 katika mechi yake ya 17 akiwa na City tangu ajiunge na klabu hiyo majira ya joto, huku bao lake la jana amefunga katika dakika ya 90+5 ya mchezo na kuwapaisha City hadi kileleni.

Kadi nyekundu alipewa Joao Cancelo huku akiwaacha wachezaji wenzake wacheze wakiwa 10 tu uwanjani, na kufanya kocha Guardiola kukasirishwa na tukio hilojapokuwa baada ya Erling kupachika bao hilo alifurahi sana.


aviator

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.