Mabingwa mara 28 wa Tanzania na wawakilishi pekee kwenye Mashindano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika Yanga SC, ni kama wanasafari kubwa na ngumu ya kuupanda mlima mrefu mithili ya Kilimanjaro baada ya kushindwa kuutumia vizuri uwanja wao wa nyumbani.
Mabingwa hao walikuwa na mchezo mgumu wa kwanza kwenye dimba la Benjamin Mkapa uliochezwa tarehe 02/11/2022, na kulazimishwa sare ya kutokufungana na Club Africain ya Tunisia.
Sasa Yanga wana kibarua kigumu cha kuhakikisha wanashinda mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Novemba 09, 2022 huku Tunisia, ili kufuzu hatua ya makundi baada ya kukaa kipindi kirefu bila kufuzu hatua hiyo. Mechi hii unaweza kubeti kwenye Meridianbet mabingwa wa odds bomba.
Nikukumbushe, kwenye mashindano hayo ya Kombe la Shirikisho Club Africain, walicheza na timu ya Kipanga kutoka Zanzibar, na mchezo wa kwanza ulimalizika kwa sare ya 0-0, lakini kwenye mchezo wa pili uliochezwa Tunisia Africain walishinda goli 7-0 na kufanikiwa kusonga mbele hatua ya mtoano, hivyo Yanga anapswa kuwa makini kwenye mchezo wao wa marudiano. Odds bomba zinapatikana meridianbet. beti bila bando. piga *149*10# bure.
Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.