Kocha mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema kuwa timu yake ni mfano wa kuigwa na Tottenham, huku kauli hizo za kocha huyo zikichukuliwa kama za dharau kuwa Antonio Conte.

 

 Klopp Azikosoa Mbinu za Antonio Conte

Jurgen Klopp atakuwa ni mgeni wa Spurs kwenye mchezo wa hapo Jumapili huku tofauti ya timu hizo ikiwa ni pointi 10 tu, huku timu ya Conte ikishika nafasi ya tatu kwenye msimamo, ikiwa nyuma ya vinara wa Ligi Arsenal.

Liverpool wanaingia kwenye mpambano huo baada ya kutoka kwenye vichapo viwili mfululizo ambavyo ni dhidi ya Nottingham Forest na Leeds United, na kuwaacha nafasi ya tisa.

Msimu uliopita, mechi zote mbili za ligi kati ya Liverpool na Spurs ziliisha kwa sare ya 2-2 kwenye Uwanja wa Tottenham Hotspur mwezi Desemba, huku mechi ya Anfield mwezi Mei ikiisha 1-1.

 Klopp Azikosoa Mbinu za Antonio Conte

Klopp alisema kuwa haelewi mbinu ya ulizni ya Conte, akisema: “Sijui siipendi aina hii ya soka, siwezi kuifundisha. Nafikiri wao ni wa kiwango cha Kimataifa na wanapaswa kufanya zaidi kwa ajili ya mchezo na wana wachezaji wa kiwango cha dunia wanazuia mipira yote.”

Conte alipuuzia mbali maoni ya Klopp, akisisitiza kwamba hakuna damu mbaya kati yake na kocha wa Liverpool, ingawa Muitaliano huyo aligundua haraka kuwa ni matokeo ambayo yaliifanya Majogoo kuangukia taji.

Conte ameongeza kuwa ameona mchezo wa mwisho waliocheza dhidi ya Klopp na kama kulikuwa na timu ambayo ilistahili kushinda basi ilikuwa ni Tottenham na sio Liverpool, lakini naelewa baafa ya mchezo unapohisi umepoteza Ligi kuu kusema kitu kibaya dhidi ya timu nyingine ni kawaida na ameomba msamaha.

Klopp Azikosoa Mbinu za Antonio Conte

Spurs walitumia pesa hizo ili kukiongezea nguvu kikosi cha Conte kuelekea msimu wake wa kwanza kamili kaskazini mwa London na sasa usajili huo umezaa matunda, na timu hiyo imefuzu hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa.

Na Conte anaona mtindo wa Liverpool kama mzuri wa kufuata.

“Nafikiri Liverpool wanapaswa kujivunia kwa sababu katika miaka mitano iliyopita walikuwa wapinzani wakubwa wa Manchester City.”


aviator

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa