Una mfahamu mtoto anependa kupostiwa na Ronaldo? Huyo ni Cristiano Ronaldo na wa nyuma ni Mtoto wake anaitwa Cristianinho Kwa kireno au Cristiano Jr kwa Kizungu, mambo ya Naming system
Ronaldo

Miaka kadhaa nyuma niliwahi kuwaandikia kuhusu mtoto huyo, alizaliwa kutokana na Mkataba wa Cristiano na Mama yake, alizaliwa Atlanta Marekani Mkataba Cristiano na Mama wa mtoto ni kuwa anazaa na Ronaldo atamlipa pesa ila Mwanamke atapoteza haki zote za Mtoto na haruhusiwi kujitangaza, mkataba ukasainiwa

Kitendo hiki kinaitwa SURROGACY, Mama anaezaa mtoto anaitwa Surrogate Mother, ni makubalino ya kisheria, ukasainiwa kati ya Cristiano Mwanamke mbele ya Wanasheria wa pande zote mbili

Hii pia hakuishia kwa Cristiano Jr tu bali hata watoto wake Mapacha Mateo na Eva nao walizaliwa kwa Mkataba kati ya Mama wa watoto na Ronaldo, aliingia tena mkataba wa SURROGACY

Mwanamke akijitangaza atalazimika kulipa gharama kubwa kwakuwa amevunja mkataba, ni kweli baada ya kujifungua tu Mtoto, usiku huo Mama mzazi wa Ronaldo alisafiri mpaka Marekani na kumchukua Mjukuu wake

Ronaldo

Mtoto huyo Maisha yake yote ya Uchanga amelelewa Lisbon kwa Bibi yake, mara kadhaa alikuwa anasafii kwenda Madrid kuonana na Baba yake mzazi au kwenda Brazil alipo Shangazi yake (Dada wa ) anaitwa Katia, ameolewa huko

Christiano kwenye mahusiano yake yote alikuwa anahitaji Mwanamke aanze kumpenda Mtoto wake kwanza, hapa ndipo alipofeli Irina Shayk, kutoweza kuswitch na Mtoto pamoja na familia

Sasa hivi Georgina Rodriguez ameweza kuishi na watoto watatu ambao sio wake, ameweza kuishi kwenye misingi ya Cristiano


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa