Ligi kuu ya Ufaransa Ligue 1 nayo inatarajiwa kuanza leo hii ambapo mabingwa wa ligi hiyo PSG ndio watakaofungua dirisha hilo kwa kukipiga dhidi ya Le Havre ugenini.

PSG chini ya kocha mkuu Kuis Enrique wataanza ligi bila ya mchezaji wao na staa wa timu yao Kylian Mbappe ambaye aliondoka na kujiunga na wababe wa soka barani Ulaya Real Madrid mapema mwezi July.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
Luis Enrique akiwa na kikosi cha wachezaji wenye uzoefu kama vile Marquinhos, Dembele, Kolo Muani, Kimpembe na wengine wengi wataanza kutetea taji la ligi na timu ambayo ilipanda daraja msimu uliopita.


