Christian Pulisic amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Agosti wa Milan.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa USMNT alifunga mabao mawili katika michezo yake mitatu ya mwanzo ya Serie A, na kuisaidia Milan kupata pointi tisa.
Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.
The Rossoneri alifichua jana alasiri kuwa winga huyo wa zamani wa Chelsea amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Agosti.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.
Pulisic kwa sasa yuko kwenye majukumu ya kimataifa na USMNT na atarudi siku mbili tu kabla ya Milan derby Jumamosi 16, kwa hivyo hakuna uhakika ataanza dhidi ya Nerazzurri huko San Siro.

