Mchezaji wa kinda wa Chelsea, Conor Gallagher amevutia vilabu vingi baada ya kuwa katika kiwango bora akiwa kwa mkopo katika klabu ya West brom, licha timu hiyo kushika daraja.

Gallagher anaweza kuhitajika msimu huu wa joto baada ya kuonyesha kile anachoweza kufanya kwenye Ligi ya Premia wakati alikuwa nje kwa mkopo.

gallagher, Gallagher Aingia Kwenye Anga za Crystal Palace., Meridianbet
Conor Gallagher akiwa West Bromich Albion

The Sun ina ripoti kuwa Crystal Palace iko tayari kutoa pauni milioni 15 kwa mchezaji huyo wa miaka 21 katika dirisha hili la uhamisho kuweza kumsogeza katika viunga vya Selhurst Park.

Meneja wa Chelsea Thomas Tuchel, anasubiriwa kutoa amri ya kumuachia kiungo huyo lakini inaaminika hawezi kufanya hvyo mpaka atakapoona uwezo wake katika mechi za kujiandaa na msimu.

Gallagher angependa kuendelea kukitumikia kikosi cha The Bluez na yupo tayari kupambana kuingia katika kikosi cha kwanza katika msimu ujao. Mchezaji huyo bado ana mkataba wa miaka 4 na vigogo hao wa London.


SHINDA TSH 150,000,000/=

Mtaani kumechangamka, washkaji wanakamata mkwanja kwa mkakati tu na Footbal Fever! Ni rahisi, changamkia fursa hii kushinda mgao wako wa TSH 150,000,000/= 💰🤑

Atletico, Atletico Waunga Tela kwa Calhanoglu, MeridianbetINGIA MCHEZONI

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa